1 Chronicles 2:12-15

12 aBoazi akamzaa Obedi, Obedi akamzaa Yese.
13 bYese akawazaa
Eliabu mwanawe wa kwanza; wa pili Abinadabu, wa tatu Shimea,
Au: Shima, maana yake Sifa njema (pia 1Sam 16:9; 17:13).
14wa nne Nethaneli, wa tano Radai, 15wa sita Osemu, na wa saba Daudi.
Copyright information for SwhNEN